Sensa wilaya ya Iramba kunani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa wilaya ya Iramba kunani??

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mtamanyali, Aug 7, 2012.

 1. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,128
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Karibu kila halmashauri zimeshatoa orodha ya majina ya watu watakao shiriki zoezi la kuhesabu watu lakini cha kushangaza wilaya ya Iramba mkoani Singida .hawajatoa majina mpaka sasa hivi kunanini hasa?? Wadau mtujuze
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  2liza boli, sensa lazima ifanyike.
   
Loading...