Kama wewe ni msomaji sana wa maandiko katika JF utakuwa umeelewa kuwa kuna watu wanakurupuka kwa kusoma kichwa cha habari tu. Hata wakisoma hawana muda wa kutafuna andiko na wengi wetu tunatafuta free P hivyo tukiona andiko la Ke hata likiwa ni kiroja ndilo tunashabikia. Katika andiko kama lako wachache wanaotafuna utapata uungwaji mkono wao mwishoni baada ya unexperienced kuchoka.Nashukuru kwa ushauri nauzingatia... Sikatai mtu kukosoa ila wakati mwingine nashindwa kuunyamazia ukosoaji unaolenga kuharibu maana.
Salaam
Sina utaratibu wa kutafuna mfanyakazi mwenzangu niliamua tu ilikulinda ndoa,nafasi na kuheshimu utu wangu kama kiongozi. Hivyo pamoja nakutolewa macho na subordinate huwa nawapotezea kigumu.
Miezi kadhaa iliyopita tuliajiri administration officer wakike, ingawa baada ya interview alijaribu sana kuniwekea mazingira ya kile ambacho wataalam wa maadili hukiita QuidPro quo lakini niliukwepa huo mtego.
Sasa jana ndio kisanga kizima kimetokea huyu dada kumbe anatatizo la akili, hali ikabadilika kaanza kufurumua maneno kwamba kabla yakupata hiyo kazi mmoja wa senior mwenzetu alimtafuna mchana kweupe na sio utafunaji wakihalali tu yaani jamaa alimpakua na kisamvu.
Hakuishia hapo akaendelea nakwangu kwamba alijibaraguza lakini nikamkimbia.
Kifupi ninaushukuru msimamo wangu, siitaji ushauri hili liwekama funzo tu kwa senior wakware.
Usiombe kukutana na Boss mfupi.
Ni shida ujuaji ni yeye, kufatilia maisha binafsi ya watu ni yeye, unafiki ndo usiseme khaaa....yaan.
Huyu wa kwetu anakera sana..... Watu wafupi muwe mnajitathimin maana you have a lot of negative things mnavofanya bila nyie kujijua. Asante meseji senti.
Ukiwa mmoja wao sio rahisi kunielewa!
Usiombe kukutana na Boss mfupi.
Ni shida ujuaji ni yeye, kufatilia maisha binafsi ya watu ni yeye, unafiki ndo usiseme khaaa....yaan.
Huyu wa kwetu anakera sana..... Watu wafupi muwe mnajitathimin maana you have a lot of negative things mnavofanya bila nyie kujijua. Asante meseji senti.
mnnh shetani kashika kila kona ipasavyo....hili ni jambo baya sana
Ukiwa mlokole tu hata mbwa akibweka utasikia shetani kamtuma. Au agent wa shetani huyo 😀