10 kilotons of TNT
Member
- Nov 15, 2020
- 17
- 51
Kwa hiyo Management team ika pitisha Tangazo limekamilika lije hewani?Kampuni ni ya nje inamilikiwa na wa Bangladesh ina miradi inatekeleza nchini hivi sasa, kwa ambaye yuko tayari ana vigezo anaweza kuomba.