Wanabodi,
Niliahidi kuleta nafasi za kazi humu kadri zinavyotokea kwenye kampuni zetu:
Tunahitaji mhasibu mwenye sifa zifuatazo:
1. Degree in ACCOUNTING na CPA
2. Kwenye degree awe amepata GPA sio chini ya 3.8
3. Working experience yake kwenye Accounting field ISIWE chini ya miaka MINNE
4. Awe anajua kutumia vizuri Microsoft Powerpoint na EXCEL
5. Ajue ku debit na ku credit (wengi mnashangaa hili, ila wapo wengi sana hawajui ku debit au ku credit)
Kama tu una sifa hizo hapo juu, basi kwa confidence kabisa omba kazi kama ifuatavyo:
Email to: recruitment@sfgroup.co.tz
Subject: Application
Huwezi amini kuna wanaokosea hata subject. Hizi juhudi ni za kusaidia wale wanaosema kazi hupati mpaka ujuane na mtu au utoe rushwa. Sio lazima, napokea hizi emails moja kwa moja pamoja na wenzangu na ninakuwepo kuhakikisha haki inatendeka.
All the best pals, hope to meet you soon
Positive
Halafu we jamaa acha majungu na fani za watu mhasibu gani hajui double entry system,tena eti awe na CPA....acha kejeli hata kawa watu wamekosa ajira sio ndo uwadhihaki,kwanza siku izi uhasibu ni digital mi nna miezi nane sasa ivi kazin sjawahi kucheza na izo nadhalia zako.kajipange tena
nikuulize we usiyejielewa na uliyekosa hoja za kuandika....inaonekana mjini umeletwa na mbio za mwenge.Mmmmh_kwani na wewe unayo hiyo CPA(T).
nikuulize we usiyejielewa na uliyekosa hoja za kuandika....inaonekana mjini umeletwa na mbio za mwenge.
sasa unachoshangaa nini?????????? si ndo tulivozoea kule kwetu na ndo signature zetu tutakutambuaje.[/COLOR]
ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_mimi mjini nipo longtime kitaaambo mkuu,...kiufupi ni kwamba_nimesoma mjini,nimekulia mjini,nimesotea maisha mjini...mimi ni mshamba wa kijiji mkuu....ila kwetu shamba sasa.
[/COLOR]
ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa_mimi mjini nipo longtime kitaaambo mkuu,...kiufupi ni kwamba_nimesoma mjini,nimekulia mjini,nimesotea maisha mjini...mimi ni mshamba wa kijiji mkuu....ila kwetu shamba sasa.