Seneta avaa Burqa ndani ya bunge Australia akitaka lipigwe marufuku

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
_97415802_56a2f7b1-3d7f-4cde-b8b7-61ca6e6cdde9.jpg

Kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia cha One Nation Party nchini Australia alivalia vazi la Burqa katika bunge la seneti nchini humo.

Pauline Hanson aliingia katika kikao cha bunge hilo na kukaa chini wakati wa hoja ya chama hicho kupiga marufuku vazi hilo nchini Australia.

Mwanasheria mkuu George Brandis ,ambaye ni waziri wa serikali aliishutumu hatua ya bi Hanson na kumpa tahadhari ya kutoingilia mavazi ya makundi mengine ya kidini.

Bwana Brandis alipongezwa na vyama vya upinzani . ''Hapana seneta Hanson, hatutapiga marufuku Burka'', alisema katika taarifa.

_97415806_00ae313a-a4ea-4336-9747-788920392a42.jpg

Katika taarifa yake bi Hanson alisema kuwa mpango wa kutaka kupiga marufuku vazi la Burqa hadharani ni swala muhimu linalokumba Australia ya kisasa.

Muswada wake wa kupiga marufuku Burqa utajadiliwa katika bunge la seneti baadaye siku ya Alhamisi.

Chanzo: BBC Swahili
 
Mie huwa nashangaa asa..... Yaani nchi zinajifanya zina uhuru lakini wanazuia wenzao kuwa huru. halafu viongozi wengi wa kiume wanapenda kuwadhalalisha wanawake. Hawataki wanawake wawe wana jistiri wanataka wakae uchi tu, na wanawake nao wanasherekeaaaaaa
 
Australia chuki zao juu ya Uislam umesababisha kukuwa kwa kasi sana !
Wanaita ukombozi wenyewe. Chuki zao zinasababisha kupotea vibaya.

Tena basi mi ningekuwepo hapo bungeni kwao ningemuuliza huyo mama swali moja tu. "Kuna mtu kakulazimisha uvae?" Jibu lake la hapana unamwambia tu sasa mbona umelivaa kidha unataka lipigwe marufuku? Si usingelivaa tukajua kama kweli hulitaki lakini umelivaa bila kushikiwa bakora
 
Kama ni swala la kuheshimu wengine na Saudi Arabia waruhusu watu kuvaa wanavyojisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Majority Saudia ni waislam. Na wanajidai kufuata sheria za kiislam wanazopenda wao. Na katika sheria hizo ikiwemo dress code.

Sasa Australia watangaze tu wao ni makafiri, waislam, wakiristo na mayahudi wanatakiwa wavae nusu uchi.

Mi nashangaa sana watu wa aina yako, hivi we upo radhi kabisa mamako anaonekana maziwa na matako na wanaume wote wanakodolea macho wakitamani?

Utaheshimiwa ukijiheshimu tu.
 
Mie huwa nashangaa asa..... Yaani nchi zinajifanya zina uhuru lakini wanazuia wenzao kuwa huru. halafu viongozi wengi wa kiume wanapenda kuwadhalalisha wanawake. Hawataki wanawake wawe wana jistiri wanataka wakae uchi tu, na wanawake nao wanasherekeaaaaaa
Zanzibar juzi tu mtu kapigwa kisa kula hadharani kwenye mfungo...... kama dini yenyewe haitambui uhuru wa dini, sembuse serikali?
 
Zanzibar juzi tu mtu kapigwa kisa kula hadharani kwenye mfungo...... kama dini yenyewe haitambui uhuru wa dini, sembuse serikali?
Unaweza kutaja jina kamili la aliepigwa?

Tambua kuwa hakuna aliezuiliwa kula, isipokjwa WAJISTIRI kitu ambacho wenzetu mmekosa. Hamuna stara.
 
Mie huwa nashangaa asa..... Yaani nchi zinajifanya zina uhuru lakini wanazuia wenzao kuwa huru. halafu viongozi wengi wa kiume wanapenda kuwadhalalisha wanawake. Hawataki wanawake wawe wana jistiri wanataka wakae uchi tu, na wanawake nao wanasherekeaaaaaa
Uvaaji wa Burka ni unyanyasaji kwa wanawake. Kujisitiri kuliko zidi kipimo.

Magaidi wanatumia hayo mavazi kama kichaka cha kufanya ugaidi.
Ndio maana ufaransa walipiga marufuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuvaa hayo mavazi mnayoita kujistiri ni Unyanyasaji, Wanazovaa hizo nguo hawapendi wanavaa nje ya amri zao ndio maana wamebuni madila sijui madela
 
Mie huwa nashangaa asa..... Yaani nchi zinajifanya zina uhuru lakini wanazuia wenzao kuwa huru. halafu viongozi wengi wa kiume wanapenda kuwadhalalisha wanawake. Hawataki wanawake wawe wana jistiri wanataka wakae uchi tu, na wanawake nao wanasherekeaaaaaa

Kuwa dharirisha wanawake ni kule kuagiza wajifunge kama pipi...
 
Majority Saudia ni waislam. Na wanajidai kufuata sheria za kiislam wanazopenda wao. Na katika sheria hizo ikiwemo dress code.

Sasa Australia watangaze tu wao ni makafiri, waislam, wakiristo na mayahudi wanatakiwa wavae nusu uchi.

Mi nashangaa sana watu wa aina yako, hivi we upo radhi kabisa mamako anaonekana maziwa na matako na wanaume wote wanakodolea macho wakitamani?

Utaheshimiwa ukijiheshimu tu.

Saud arabia wanaruhusu kujenga kanisa? Dubai hata wakristo wanasali ijumaa ila husikii malalamiko ili kwamba mtu ulielie nilazima uwe na level zaa juu sana za infiriority complex kama wenye nchi hawatak madela waachien nchi yao
 
Saudia kuna demokrasia? Mana utumie akili unapojaribu kufananisha nchi ambayo haina uhuru na yenye uhuru. Australia ni democratic country ivo basi haki ya muislam kuvaa anavotaka lazima iwepo kwenye demokrasia. Watangaze tu kama nchi hii sio ya kuwa na uhuru wataeleweka.
 
Back
Top Bottom