Senene

scolastika

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,877
Reaction score
5,767
Aya wenzangu na mimi ni msimu kwa msimu hongera wote mlomaliza mfungo salama hku kwetu pia tumesherekea vzuri
Sasa n msimu mpya wa senene kwa wale wanaohitaj senene kwa matumizi yao binafsi Au kwa ajili ya biashara naomba tuwasiliane ili nkupatie namna rahis ya kupata senen hao

NOTE: Yaani ni wa mwezi huu achana na wale wa mwaka jana ni mwez huu ni wapya kabisa. Ikumbukwe senene ni chakula chenye protini nyingi.

Karibuni.
Location.mbagala
Phone no 0713678722
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…