Senene ni wadudu jamii ya panzi ambao ni chakula kitamu na cha heshima ambacho hutumiwa na watu wa Ukanda wa ziwa victoria hasa mkoa wa Kagera. Wadudu hao huvunwa wakati wa msimu wa mvua hasa mwishoni mwa mwaka.Katika purukushani za mavuno ya wadudu hao mtu mmoja inasemekana amefariki dunia usiku wa jana eneo la Omrushaka wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.
kweli jamani ,Alienda kuwakamata akiwa na mtoto mchanga , alipomweka chini akasahau kwani senene walikuwa wengi na wanene aliporudi akakuta mwanae wamemshambulia ,kumuuma na kumparua sana mpaka amekufa. JAmani senene watamu