Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Hizo za Canada hazina ushahidi lakini zenu mlizotuibia zina ushahidi kwani hamjui kuiba mnaacha tracess nyuma; hongo zenu zote mlizopata kutoka kwa WACHINA kupitia dalali wenu Shimbo zinajulikana zilikofichwa!!!
Just continue to feed yourself with some physcological food, but time will tell!!
its a pity how you let your mind work!
I let my mind work this way because I am alive and I do not like what you and your gang are doing to this great country!!Your gang's impunity STINKS!!
Now provide your evidence to support your accusations, how could you accuse someone without proof of their wrongdoing? Its like trying to make people believe you without giving them a reason to do so , only fools would do that! Why should we believe you when you have not given us a concrete reason to do so?
And by the way, which gang are you talking about anyway?
The GANG I am referring to is your SYNDICATE of thieves who have colluded and bankrupted the country through your impunity to an extent that the government cannot meet its basic obligations!!Ndugu zetu wanakufa hovyo kwasababu hospitali hazina dawa, watoto wanakalia matofali shuleni na shule zenyewe hazina hata matundu ya vyoo kwasababu ya ufisadi wenu nyie washenzi!!
Hasira na kupayuka havisaidii, I ask you politely to provide the evidence that might justify your accusations against Ridhiwani Kikwete so that some of us who find your claims to be lies could be proven wrong!
Show everybody here that My saying that you are driven by hate and grudges is wrong!
And by the way, how comes you accuse Me of belonging to a gang of thieves when you don't even know Me? Or its because this is how you brand people by establishing their character without basing your conclusions on facts?
Have you ever heard the Engilsh saying" SHOW ME YOUR FRIENDS AND I SHALL TELL YOU YOUR CHARACTER"? Wewe unatetea mafisadi na ufisadi ni lazima utakuwa mmoja wao au unafaidika na ufisadi wao!!
Nachohitaji ni ushahidi kuwa hao naowatetea ni mafisadi. Huwezi kumtwisha mtu tuhuma nzito bila kuwa na ushahidi unaothibitisha hilo. Hata wewe siwezi kukutuhumu kwa kuhisi, ni wendawazimu!imekwiaha
Nimekwisha kutahadhalisha hapo nyuma na narudia tena kuwa tia nywele zako maji sasa wakati wenzio wananyolewa ili zilainike usije ukapata maumivu sana kwani YOUR DAYS ARE NUMBERED!! Utake usitake kimbunga hicho lazima kitakukumba wewe na genge lako!
Nachohitaji ni ushahidi kuwa hao naowatetea ni mafisadi. Huwezi kumtwisha mtu tuhuma nzito bila kuwa na ushahidi unaothibitisha hilo. Hata wewe siwezi kukutuhumu kwa kuhisi, ni wendawazimu!imekwiaha
Nimekwisha kutahadhalisha hapo nyuma na narudia tena kuwa tia nywele zako maji sasa wakati wenzio wananyolewa ili zilainike usije ukapata maumivu sana kwani YOUR DAYS ARE NUMBERED!! Utake usitake kimbunga hicho lazima kitakukumba wewe na genge lako!
Sioni sababu wala faida ya kupayuka kwa mambo ya kutunga na kudhani. Nimekuomba ushahidi unaendelea tu kupayuka wakati huna ushahidi wa kusupport tuhuma zako, kitu kinachodhohirisha kuwa wewe ni muongo, mzushi uliejawa na chuki kiasi cha kutunga na kusingizia tuhuma dhidi ya mtu.
Mtu kuwa member wq familia ya Rais ndilo kosa pekee la kumfanya kuwa mtuhumiwa kwako wewe. Nyinyi ndio wachochezi wenye kustahili kupuuzwa.
Tusubiri huko tuendako. Mmojawapo kati ya hawa anaweza pia kuonja gereza.
1:Makongoro Nyerere
2:Hussein Mwinyi
3:Anna Mkapa
4:Ridhiwani Kikwete.
Ni masikini ukimlinganisha na Chenge.
Kaka Manyerere Jackton umemkusudia nani hasa katika huu uzi?
Tafadhali mtaje wazi wazi tumfahamu, hii ni JF "where we dare to talk openly".