Habari wanajamvi. Nimefanikiwa kusetup SMS gateway hadi sasa uwezekeno wakutuma bulk sms umefanikiwa.
Challenges; huu mlolongo wakusajili sender id upoje kwa mitandao husika hapa tanzania. Sms zinafika kwa sender ID (INFO).
Kwa anayefahamu naomba mwangaza.