K kaliro Member Joined Apr 2, 2012 Posts 76 Reaction score 14 Apr 18, 2012 #1 Wakati wa kikao kinapoendelea sasa, Sendeka na kahamia kwa Waziri Mkuu na wanateta kwa kina. Huenda ni kuhusu hali tete inayovuma kuelekea Simanjiro, na jitihada za kuuzima moto huo. Source😛icha ktk kikao cha Bunge kupitia TBC leo.
Wakati wa kikao kinapoendelea sasa, Sendeka na kahamia kwa Waziri Mkuu na wanateta kwa kina. Huenda ni kuhusu hali tete inayovuma kuelekea Simanjiro, na jitihada za kuuzima moto huo. Source😛icha ktk kikao cha Bunge kupitia TBC leo.
maphie Senior Member Joined Jul 28, 2011 Posts 174 Reaction score 47 Apr 18, 2012 #3 Jamaa, matumbo joto kwn chadema walimpa grace period wakifikiri n mpambanaji kumbe wapi; jimbo kalipoteza, hana jinsi tena
Jamaa, matumbo joto kwn chadema walimpa grace period wakifikiri n mpambanaji kumbe wapi; jimbo kalipoteza, hana jinsi tena