Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,090
- 143,309
Hahahhhh mate wapo wawili wamefanana tabia ujue subiria uone watakavyochafua Tweeter na Tweets zao kuna wa kiswanglish kuna wa mabomu ya nuklia ni balaa.
RIP John!
Kuna jitu moja leo litalala usingizi mnono leo
I am waiting to hear what will come from his mouth au tweeter yake itasema nini!
Good for him.Yaishe jamani. He knows better..
Check out @realDonaldTrump’s Tweet:
Who the hell is that?Kuna jitu moja leo litalala usingizi mnono leo
I am waiting to hear what will come from his mouth au tweeter yake itasema nini!
Wale siyo wahuni kama huku Afrika.Unayemdhania kuwa hivyo hawezi kuwa muhuni.Jitu lisilo na chembe ya ubinaadamu; RIP, Maverick! You will be missed.
John McCain siyo Makin.Nafatilia BBC majira haya naona wanampamba sanaaa Senetor John Makin kumbe hayuko tena na sisi Duniani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Let the crowd say Ameeeeeen! Abarikiwe sana.Yaishe jamani. He knows better..
Check out @realDonaldTrump’s Tweet:
Kama mm nisivyompenda mhutu.Wait a minute...
Hii mada ni ya John McCain au vijembe dhidi ya Trump?
Hakika chuki ni mbaya sana! Ina cloud kabisa hata busara za kawaida tu!
Kama mtu au jitu hulipendi kwa nini unaliwaza muda wote?
Shameful.
Hawaja muongezea siku za kujianda kama yule mama yetu ...!He almost made it at the mark of brain tumor survival chance of 14 months after the diagnosis.
RIP