Ndugu wananchi,
Ufugaji wa kuku ni biashara kubwa ambayo imewatajirisha wafugaji na wengi wao sasa ni matajiri wa kutupwa. Kwa mtu yeyote anayetaka kutajirika kupitia ufugaji wa kuku, naomba azingatie kuhudhuria semina hii kabambe kutoka kwa kijana aliyejitwalia utajiri mkubwa kupitia ujasiriamali wa ufugaji wa kuku. Kwa taarifa zaidi, piga namba inayoonekana kwenye kipeperushi (0752 90 41 52 au 0675 90 41 52). Nawatakia utajiri mwema.