kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
yale maneno tu bana!we come this way muishi pamoja then ndo ikupe tafsiri sahihi ya ndoa ni nini na ni zaidi ya nini!'kila la kheri mkuu!Habari wana jukwa la mahusiano nilichojifunza mimi napenda niwape na wenzangu kwani
Semina zinazotolewa kabla ya ndoa ni zaidi ya ndoa kwani wana ndoa wakizingatia seminar
Kabla ya ndoa na maana ya ndoa ni maagano kati ya watu wawili na swala la kupata watoto ni
Majariwa ktk maisha ya ndoa na kitu kingine cha kudumisha ndoa lazima wanandoa lazima wawe na
Hofu ya MUNGU nawasilisha.
yap, uliwai kusoma kitabu cha padre dr. Deogratias Mbiku wa chuo kikuu? kinahusu uchumba na ndoa. ni kizuri sana
yale maneno tu bana!we come this way muishi pamoja then ndo ikupe tafsiri sahihi ya ndoa ni nini na ni zaidi ya nini!'kila la kheri mkuu!
yap, uliwai kusoma kitabu cha padre dr. Deogratias Mbiku wa chuo kikuu? kinahusu uchumba na ndoa. ni kizuri sana
sina ndugu, nilikuwa na hard copy. nimemuazima mtu hajanirudishia.Mkuu kama una sofy yake tafadhali ni-PM
Kama tunaweza kuyafuta yote kwenye hizi senina za ndoa kwa makini
Nimeshafunga!Rafiki wafunga lini hiyo ndoa!
lini unafunga ndoa mkuu?? semina imeisha?