sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,675
Kwa hali ilivyo ni dhahiri kuwa upinzani kwa sasa unahitaji semina elekezi..Lengo ni kubadilisha aina ya siasa wanayoifanya huku bado wakiwa na mentality ya JK wakati uhalisia ni JPM. Hii imesababisha wajikute katika matatizo kuanzia bungeni hadi uraiani..Aghalabu profesa Kitilla Mkumbo amekuwa akiwashauri mara kwa mara kubadili aina ya siasa kitu ambacho wameshindwa kabisa..upinzani umekosa ubunifu na kubakia static..