Semi-finished house for sell. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semi-finished house for sell.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mallaba, Mar 8, 2011.

 1. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Ee Bwana uyasikilize maneno yangu, ukaangalie kutafakari kwangu.
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  ok, keep in touch buddy
   
 3. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu unaweza kuihamishia Dar, duh mjengo umetulia na bei siyo mbaya kabisa.
   
 4. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Bdo nipo nipo bwana unavituko sio vya kawaida ataihamishaje??
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  pengine anataka uoanishe mazingira na bei uliyoitaja
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  bei ni tatizo kumbe mkuu??
   
 7. g

  geophysics JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa bei hiyo Magu lazima umbambike mchimba madini wa Nyarugusu.
  Tshs. 28m ni nyingi sana kwa bei hiyo kaka
   
 8. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  bei haipungui??
   
 9. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  jamaa amenipa akisema hiyo ni bei ya kuanzia
  kwa hiyo kama kuna mtu anahitaji kwa ukweli punguzo lazima liwepo
   
 10. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  usiogope kaka, kwanza angalia jumba lenyewe likiwa na makaratasi yote
  yaani mtu anaweza akalinunua mara moja nakuchukua mkopo wa mamilioni ya pesa sababu hati ya nyumba na kiwanja ipo kabisa.
   
 11. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Tatizo kaka jamaa hakujiandaa vizuri alidhani ujenzi ni mchezo.
  lakn kwa gharama sidhani kama ni kubwa sana ya kutisha ukilinganisha na thamani ya property yenyewe.
   
Loading...