Semeni wenyewe

wamekosa kikombe cha kunywea maji au?
 
Umekosa adabu, rekebisha kauli-kinywaji cha baba zako unaita mataputapu. Haya ndiyo yametusomsha tukafika hapa tulipo na ma PhD!
Kwa bahati mbaya au nzuri Baba yangu sio mlevi na hajawahi kunywa/kugusa pombe hata siku moja, mimi mnywaji wa pombe(ila nimeacha sasa ni mwezi wa tano huu)

Nafikiri hukunielewa mimi pombe ya kienyeji naita matapu tapu, ulichotakiwa kufanya ni kunielewesha sio kunipandishia sauti.

Mimi hiyo PhD yako hainisaidii chochote. Hiyo kimpango wako
 

Hapana HARUFU, CHUAKACHARA am sure alicomment kimasihara zaidi japo naelewa imekukera kwa kiasi fulani
 
Last edited by a moderator:
Umekosa adabu, rekebisha kauli-kinywaji cha baba zako unaita mataputapu. Haya ndiyo yametusomsha tukafika hapa tulipo na ma PhD!
phd kitu gani hata diamond dangote nusura juzi aipate tena ya udsm
 

Wewe usichukie mimi nilitoa kama utani tu kuwa hizi pombe zimewasomesha watu mpaka Phd level, kama utani. Pole kama hujapenda. That was purely a joke
 
Hapana HARUFU, CHUAKACHARA am sure alicomment kimasihara zaidi japo naelewa imekukera kwa kiasi fulani

Asante Mshana, umenielewa, nilisema kama utani. najua pombe hizi wanaziita mataputapu, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa baba , mama, dada kaka zetu wanazinywa mpaka leo. Akitoka mmoja akawa na ka uwezo ka kunya purified ones, lakini kumbuka wa damu yako wanazinywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…