Sembe hatari sana

Sembe hatari sana

Joined
Mar 28, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Vipi wadau, kuna lijizee mmoja ambaye alijaribu kuhifadhi chakula tumboni mwake kwa siku nne ili asile kwa muda huo! Lakini ikashindikana kwani alikula hadi akakosa nafasi ya kupumua! Ika bidi kupelekwa hospitalini ili kufanyiwa oparesheni ya tumbo ili atolewe chakula.
 
Vp? Habr yako

cjakuelewa labda story yako inatufundisha nini maana umetoka uliko tokea sijui ndo mala ya kwanza kuingia humu store..

NB😛anga maelezo yako.

Enjoy++

Vipi wadau, kuna lijizee mmoja ambaye alijaribu kuhifadhi chakula tumboni mwake kwa siku nne ili asile kwa muda huo! Lakini ikashindikana kwani alikula hadi akakosa nafasi ya kupumua! Ika bidi kupelekwa hospitalini ili kufanyiwa oparesheni ya tumbo ili atolewe chakula.
 
Jamaani nioneeni huruma kwani ndio mara yangu ya kwanza kuingia hii store. Kama nimekosea niambieni nitajitahidi vizuri,kwani mtoto kabla hajatembea hujifunza kutambaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom