550,000.00 anasemaje?
550,000.00 anasemaje?
iPhone yako unauzajeNataka but nina I phone 5 mpaka niuze mpya so tunafanyaje mkuu?
Laki nane na nusu mkuu
Nakupa iPhone yng na 100k
Wewe umesema unataka iphone 4s yangu so mm nakupa hiyo iphone na laki moja unipe iphone 5 yako hapo vipi mkuuUnakata sana maneno sikuelewi kaka
Tafadhali nyoosha sentesi mkuuuuu