Selling apple iphone 7 & samsung galaxy 7 edge

Selling apple iphone 7 & samsung galaxy 7 edge

khalis224

Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
5
Reaction score
3
SELLING APPLE IPHONE 7 & SAMSUNG GALAXY 7 EDGE

100% *OFFICIAL* AUTHORIZED DEALER
100% Brand New in Box ? Genuine Guaranteed
100% Lowest Price Guaranteed (You can tell us your target price)
100% FULL Warranty with setup service

Latest model Apple iPhone 7 Plus (32GB, 128GB, 256GB)
Latest model Apple iPhone 7 (32GB, 128GB, 256GB)

Apple iPhone 6S
Apple iPhone 6 Plus

Samsung Galaxy S7 and S7 EDGE

Gold, Rose Gold, Silver, Space Gray

Skype.: B2blimited1

WhatsApp:+254703131437
 
Attachments

  • ggg.jpg
    ggg.jpg
    34.1 KB · Views: 101
unaweza kuwasiliana na sisi kwa simu namba au whatsapp: +254703131437
 
Iphone 7 ni juzi tu imetangazwa leo inauzwa huku!? Au ni iphone ya kichina!!
 
preorder yake na tu inapatikana katika ofisi zetu katika Marekani, unaweza kuwasiliana na sisi kwa simu namba au whatsapp: +254703131437
 
Jibu maswali ya watu acha kutuwekea minamba yako ya kikenya hapa!!
 
Asa mkuu utangaze biashara hapa then maongozi unalazimisha kwenda whatsap kweli ni saw a hii? We we jibu kwanza maswali unayoulizwa then kama mtu atataka kukutafuta whatsp atakuja tu
 
WhatsApp:+1(213) 394-2596

Khalis 224 nimepiga hiyo namba ya Los Angeles.Ujumbe wa Monica Umesema niache ujumbe.Inaonekana NI biashara ya ujanja ujanja
Maana Na Monica NI sauti ya mtu ambaye hausiki Na biashara yako.Kama nime kuhukumu sivyo:Turidhishe ukweli
 
Ingia kichwa kichwa uone.
 
Wezi hao hata kule kupatana na facebook wapo..
Yani mm nitume hela bidhaa sijaiona naumwa akili au?
 
Wezi hao hata kule kupatana na facebook wapo..
Yani mm nitume hela bidhaa sijaiona naumwa akili au?
Mkuu hawa Jamaa wanaboa sana. Mi nikitaka kununua Kitu toka kupatana naangalia namba nikiona imeanzia +254 basi naacha kwasababu najua ndio walewale.
 
Back
Top Bottom