Nicklaus
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 462
- 459
Habari
Kama kuna aliyefanikiwa kujaza hizi form (self form) za kidato cha nne kwaajili ya uchaguzi wa kidato cha tano, kupitia tamisemi (selform.tamisemi.go.tz), naomba anipe muongozo au mwenye taarifa yoyote, mana nimejaribu mara nying bila mafanikio.
Nawasilisha.

FOR MORE | WORK WITH ME