wenyeji wa jiji la tanga, nipo kwenye mji wenu. leo nimetimiza siku ya sita ya mimi kuwa hapa.
unahisi nimefikia hotel au lodge gani katika hizo zinazoonekana kwenye image ya google map?. ukipatia nakutumia buku 20 sasa hivi.
View attachment 1239690View attachment 1239691