Sasa hizi ndio picha zinazotakiwa ziletwe humu.. Hata hivyo mweka mada unafaa kupewa kitengo Cha uhamasishaji,ukurupushaji na uwazi.
Waambie waendelee kuweka picha Kama hizi lakini mikono na miguu bwana hapendi.
Sikuzidi wewe😜 page ya 700+ si mchezo, uhamasishaji huu siku nikitaka kugombea hata ukatibu
wa kuchunguza kwanini sakafu haitelezi ntakutafutaa.. NB: nyenzo za kilozi usisahau
page ya 700+ si mchezo, uhamasishaji huu siku nikitaka kugombea hata ukatibu
wa kuchunguza kwanini sakafu haitelezi ntakutafutaa.. NB: nyenzo za kilozi usisahau