Ni habari ya zamani sana huko kijijini sitimbi lakini hadi leo nacheka sana nikikumbuka! Ilikuwa hivi, kuna binti mmoja kijiji cha jirani alikuwa hataki kunipa mchezo, nikachoka kuvumilia na 'njoo kesho zake', siku hiyo ya tukio tukakutana kwenye kichaka kimoja mida ya saamoja...