Asalalee hili ndo umbo katika maumbo yaliyothibitishwa katika viwango vya ubora mshana Jr waambie tunataka tuone vitu kama hivi laasivyo tutawapokonya point alowapa mama tinginya
Tobaa yarabii sijawahi kuona msichana mrembo kuliko wewe huyu Kama ni wewe ukipita wodi ya wagonjwa wa moyo waliolazwa ICU lazima biashara ya majeneza iuzike jinsi uso ulivyojaa neema