BaadaePita tena
Hata sio lazimaBaadae
Dah ila we lizuri bana!!Mbovu kwenye nini kijana🤣
Twenzetu siasani tukakiwashe
Huku inatosha kwa leoo🤝
I know thatDah ila we lizuri bana!!
Sijawahi choka kukutazama shes.
Huko kwenye siasa?Afu nishakuambiaga uwe unaniita sijui unafeli wapi
Sio ke?? Ujue Nyie ndio maua mapambo ya dunia hii!! Kuna namna tukiwaona vitu vingi vinakawa sawa😹😹wanaume ndo wanapita nakeddddd
😹😹😹😹ila una mambo mimi sipiti nakedddddSio ke?? Ujue Nyie ndio maua mapambo ya dunia hii!! Kuna namna tukiwaona vitu vingi vinakawa sawa
Wewe yako iko wapiChat kwa picha
Yako kwanzaWewe yako iko wapi
Asante kwa kulifahamu hiloI know that
Yeah popote pale!! Ni vile tu tumeamua kutokua serious sababu siasa za bongo zinakatisha tamaaa ila nikiamua kutema madini natema sana.Huko kwenye siasa?
Ni ku tag sasa hivi
Wewe yako iko wapi
😹😹😹😹😹huyu mtu unamtoaga wapi
🔥🔥Asante kwa kulifahamu hilo
Kuna uzi nakutag njoo tujenge hoja ila. Huko ni makavu liveYeah popote pale!! Ni vile tu tumeamua kutokua serious sababu siasa za bongo zinakatisha tamaaa ila nikiamua kutema madini natema sana.
Chillll😹😹😹ntapita nikiwa naenda kulalaZam yake sasa
Nikijipost unasemaga ivi😹😹😹😹😹huyu mtu unamtoaga wapi
Embu tupia nasikiaga tu rangi ya mtume rangi ya mtume lamo akisifia😹😹😹😹ila una mambo mimi sipiti nakeddddd
Toa mudaChillll😹😹😹ntapita nikiwa naenda kulala