Selfika na JF: Snap it. Show it

Haya wapiga pic kwa kisingizio cha kunywa soda mmefikiwa..!! 😹😹

Kuna kipindi humu selfika kulitrend wadada kutaja rotana lakini wote sijawahi kuwaona na hizo pics za Johari rotana!

Waungwana tupeni pics tuzione basi 😹😹
Leo sijakuona siku haijawa poa hata kidogo
 
Ni mwaka wa tatu unaelekea kuisha kila ninao wavizia nione pic zao sijafanikiwa..
Mshana chumvi ya mawe naomba
mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…