Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hamna pombe ya bure nenda kasikilizie vizuri. Ufue mashuka sasa
Mimi nina uwezo wa kununua pombe yoyote dogo dunya, nimeanza make pesa since 2007, nilikua nachukua boom then nilikua na movements zingine karibu kila mwezi napata deals na kazi. Nasoma huku na naingiza na pesa, go and ask ud mabibo hostel block e weekend ngapi nilikua nalala hapo hostel

Wakati huo naamini ulikua mzima wa afya kabisa, sphincters zilikua bado mpyaaa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…