Selfika na JF: Snap it. Show it

Bro mbona mna penda kutukanana ndugu zangu🤒, mama yake kaingi aje hapo😪😪😪
👉 Countrywide hebu nawe acha kumtusi mwenzio, SI unajua Jamaa Penseli 4 ni mwanaume🤒
Katumwa huyo na machangu zake.

Ntamuwashia moto. Ila ngoja nivunge sio kila mtu ni wakuchokoza kila muda. 😆😆😆
 
😂😂😂 umepata
Bwana si katoka Ulaya ehee
Subiri pakuche

😂😂 sio sifa
Sisi sio magaidi aisee
Mwaka mzima unakaa eneo moja kama pua 🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️
Aririririririiiiii
Nazisubiria😋😋

Yaani unakua kama umetelekezwa🤣🤣
Aah haujitendei haki kabisa.

Go somewhere nice, have fun enjoy hata inasaidia uso na nafsi vinasafishika na kupata nuru🥰
 
Katumwa huyo na machangu zake.

Ntamuwashia moto. Ila ngoja nivunge sio kila mtu ni wakuchokoza kila muda.
Huyo wa kunituma mm bado hajazaliwa. Alafu hapa kuna kitu napiga si unajua leo ni holiday eeh. Nataka nimalize hii mls 750, twende mdogo mdogo Ila usikimbilie mawe. Ni nako kwa nako ariifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…