It's just one thing that's killing me
How do you fit that in them jeans?
Hot damn it your booty like two planets
Damn, baby, you got a bright future behind you
Haufai hata kidogo manyama nyama tu, wanaume wanataka kujua yaliyopo ndani, ni ngumu sana kupata mwanaume mwenyw mapenzi ya dhati wengi wao wanataka kujua ndani kuna nini.
Usiuombe huu mwili wala kuutaka baki hivo hivyo
Napenda speed ya huu uzi pia comments zinanifurahisha sana! Big up kwa mleta mada na wachangiaji. Sometimes JF inatufanya tusahau michosho ya maisha na kuifanya akili iwe huru. Tuendeleeni kuukimbiza huu uzi mpk tuupite ule wa makapuku!!!