Selfika na JF: Snap it. Show it

We kweli makuπŸ€”πŸ€”, namaanisha Chumvi ya chakula KakaπŸ€£πŸ˜‚
Ndo nakwambia kuna kansa ya koo,,
Acha hayo mambo kijana be carefull
Acha uchafu, kijana wa hovyo unapenda chumvi sana

Nakuona sana kwa hizo mada unajisifu sana sasa ngoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Kaka nipo katika mgodiwa chumvi- ndoo kubwa10 ni 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…