Sifia yako imekaa kama, umedharau za wengine sababu hazina quality na hawana swaga means pic zao za kishamba
Nikupe mfano huku bush kuna mademu wakali kuliko rihana, beyonce nk lakini kutokana na mazingira pic zao zikiletwa hapa na za kina rihana, beyonce na wengine wenye kariba kama yao wataonekana ndo warembo kuzidi bushladies umenipata nadhani