hivi ninyi wanawake? samahani lakini kwa kuuliza hili swali...mkiingiaga kwenye maji kama hayo, maji huwa hayazami ndani manake pale ni kishimo tu hata kama kitakuwaje mkipanua miguu manaporuka au kutembea si maji, minyoo, wadodo hata kanyoka kadogo kanaweza kujipatia pango la kujificha? au huwa inakuwaje. tupeni uzoefu.