Self Storage

Self Storage

E bwana najaribu naona hola[emoji19]
Sijui nikaanzishe extra storage[emoji848][emoji848][emoji848]

Hey, yaweza kuwa fursa hiyo...

Tena waweza ongeza hadi madoido ya air conditioning....

Ila changamoto naziona zipo nyingi.

But to hell with changamoto. Ni nini hapa duniani kisicho na changamoto....
 
Hey, yaweza kuwa fursa hiyo...

Tena waweza ongeza hadi madoido ya air conditioning....

Ila changamoto naziona zipo nyingi.

But to hell with changamoto. Ni nini hapa duniani kisicho na changamoto....

Niwawekee time limit ya kutembelea(saa za kazi) badala ya kuwa na access binafsi, insurance etc etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom