Self awareness (kujitambua)

elishaezekiel

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
563
Reaction score
1,474
Kujitambua huja tu pale utapojua kuwa;

. 1 Kila mtu anataka kumtawala mwenzake kimawazo na anataka Watu wengine wawe wafuasi wake.

2. Viongozi wa serikali ni watu kama wewe na hawapo pale kwa maslahi ya mtu yeyote isipokuwa wao.

3. Mwanadamu huamini zaidi uongo kuliko Ukweli

.4.Duniani hakuna mtu aliye juu yako wewe ukiondoa utumwa wako wa namna namna kama ajira utakao kufanya umtazame mtu mwenzio kama angali juu yako

. 5. Watu wengi wanaendeshwa kwa hisia bila wao kujijua na wakidhani hisia zao ndio wao.

6. Mtu siyo huo mwili unaouona ( Non identification).

7. Mwanamke ndiye mtu pekee duniani anaejua saikolojia bila kwenda shule.

8. Kuuomba mtu ili ufanye jambo fulani ni utumwa.

9.Kwenye familia mwanamke ndiye mtawala akijifanya mfuasi.

10. Aliyetengeneza glasi za kuvunjika ni mwanamke kumfundisha mwanamme delicacy.

11. Subordination for women is a form of Power game ( Kujishusha kwa Mwanamke ni njia ya kumtawala mwanamme)
 
No3: wengi uhisi wanaowaongopea hawajui Kama wanajua wanaongopewa ..Ni vile tu mtu huamua kuwa mstaarabu na kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
...#7. haijakaa vzur
#9. Mtawala kwa watoto sio kwa mumewe.

Hyo namba 5 ndo sifa kuu ya mwanamke...huendeshwa na hisia ata ktk maamuzi yao ndo Mana ukiangalia ata Kwenye series za mitume wote ni wanaume...

wameangamia watakae mfanya mwanamke kuwa kiongoz wao.

Ila self awareness ni jambo ambalo limefichika ktk ubongo (subconscious mind) wa mwanadamu,inaitaji jitihada za makusudi kufikia hii hali....zijajua ww umetumia vgezo gani adi ukashusha nondo hzo.
 
9 na 11 zinafanana

7 nimeipenda sana tunaijua saikolojia kana kwamba tuliisomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…