Post na selection za form five 2017/2018 zinatoka lini?

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,174
841
Tujuzane hapa updates za selections

Form five selection ni lini jamani. Kuna shule za private zilianza masomo ya a level March, 2017!. Za serikali mpaka leo hata machaguzi bado. Ndalichako , you are failing terribly! With this new system of university application, abandoning CAS, we are done! Ndalichako, you are failing!
 
huwa zinatoka mwezi wa saba tarehe za mwanzoni, au mwezi wa sita tarehe za mwishoni!!

vuta subira!!!
 
Subr tu kama umefaul endelea kufany maandalz
Tatizo unaweza ukawa umefaulu alafu unakuta umebalance comb tatu,sasa unashindwa ujiandae kwa comb ipi ndio maana ni bora zije mapema ili mtu akajiandae kwa comb aliyopangiwa maana huwezijua mwaka huu labda watakataa mwanafunzi abadilishe comb ndio maana bora tujue wanatoa lini izo selection ndio wengine tujiandae hata kwa muda Mfupi
 
Subiri ukichachaguliwa ndo ukasome, kwa Muda huu wewe pumzika tu, huchoki kusoma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom