Zimeshatoka zote. Ndio maana NACTE wameturuhusu tufungue madirisha ya application upya hadi tarehe 29.
Nakushauri apply chuo kingine au rudia iko iko.
Usiweke mayai yote kwenye kapu moja. Jitahidi apply ata vyuo vitatu siku hizi chache bwana mdogo.
Sisi mfano Chuo chetu wanafunzi wote tuliowapeleka NACTE kwaajili ya verification amesharudishwa. Wengine VERIFIED na wengine wamekuja na matatizo so tunayarekebisha na kutuma tena NACTE tarehe 29 hadi 31..
Kuna possibility Application yako hawakuipeleka, au imerudi na matatizo so wana solve.