Selection za vyuo vya Afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Selection za vyuo vya Afya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by itagata, Sep 10, 2012.

 1. i

  itagata JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana JF

  Jamani naomba mwenye taarifa zozote kuhusu selection za vyuo vya afya vilivyo chini ya wizara ya afya kama zimetoka, kwani nimetembelea mara nyingi website yao lakini mpaka sasa hayajawekwa. Naombeni msaada wakuu.
   
 2. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hakuna jpya na web yao ia habari za kale kama matangazo ya watu kuomba vyuo. ni muda sasa hakuna feedback ya maombi watu waliyotuma kitambo sana
   
 3. K

  Kishiwa 44 Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  more than cool
   
 4. G

  Geofrey J Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2subir 2 jaman!
   
Loading...