Selection ya Form 5 na chuo huwa ni mwezi gani?

Zeru

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
186
Reaction score
64
Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo:
Civ - B
Kiswa - B
Hist - C
Geo - C
Engl - B
Engl in Literature - C
Phy - C
Chem - B
Bios - A
Math - B

Dogo hataki kwenda Form V, anataka kwenda chuo moja kwa moja kwa kozi za afya. Je yupo sahihi wadau au nimng'ang'anie aende Form V? Pia wadau naombeni nisaidieni kuhusu selection za hivi vitu huwa zinatoka mwezi gani?
 
Hivi huu uzi unahitajika kuwa kwenye Ajira na tenda kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau, nina mdogo wangu amepata div I ya 14 pass ni kama zifuatazo:
Civ - B
Kiswa - B
Hist - C
Geo - C
Engl - B
Engl in Literature - C
Phy - C
Chem - B
Bios - A
Math - B

Dogo hataki kwenda Form V, anataka kwenda chuo moja kwa moja kwa kozi za afya. Je yupo sahihi wadau au nimng'ang'anie aende Form V? Pia wadau naombeni nisaidieni kuhusu selection za hivi vitu huwa zinatoka mwezi gani?
Nakusisitiza msikilize dogo. .. FORM 5 HAKUNA JIPYA NI UPOTEZAJI WA MUDA TU HAKUNA FAIDA FORM 5 ZAIDI ISIPOKUWA KAMA ANATAKA KUJINGA JESHINI AU POLISI...
 
Pow pow kiongoz nimekupata.
 
Back
Top Bottom