Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 703 Aug 10, 2012 #1 View attachment 1Direct Selections from TCU 2012 13.xlsTumalize ubishi ingia kwenye hio link ujionee mwenyewe
View attachment 1Direct Selections from TCU 2012 13.xlsTumalize ubishi ingia kwenye hio link ujionee mwenyewe
majuto mperungu JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 394 Reaction score 120 Aug 10, 2012 #2 Wenye simu ha2oni very sad
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 703 Aug 10, 2012 Thread starter #3 Pole tafuta computer bhizi ni za UD ilanadhani ubishi umeshaisha
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 703 Aug 10, 2012 Thread starter #4 Jamani mbona sioni replys hamuwezi kuifungua au?
A Apex JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 425 Reaction score 61 Aug 10, 2012 #5 Da mkubwa ngoja tuingia cafe cm hatuoni.
J jnuswe JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1,270 Reaction score 549 Aug 10, 2012 #6 ze duduz said: View attachment 61500Tumalize ubishi ingia kwenye hio link ujionee mwenyewe Click to expand... tunashukuru kwa habari hiyo japo umedaanganya mbona selection hiyo ni kwa UD peke yake ?
ze duduz said: View attachment 61500Tumalize ubishi ingia kwenye hio link ujionee mwenyewe Click to expand... tunashukuru kwa habari hiyo japo umedaanganya mbona selection hiyo ni kwa UD peke yake ?
K king rockie ATL JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 260 Reaction score 25 Aug 10, 2012 #7 jnuswe said: tunashukuru kwa habari hiyo japo umedaanganya mbona selection hiyo ni kwa UD peke yake ? Click to expand... ubishi ulianzia selection za ud ila jamaa kamaliza ubishi
jnuswe said: tunashukuru kwa habari hiyo japo umedaanganya mbona selection hiyo ni kwa UD peke yake ? Click to expand... ubishi ulianzia selection za ud ila jamaa kamaliza ubishi
K king roja Senior Member Joined May 4, 2012 Posts 141 Reaction score 7 Aug 10, 2012 #8 king rockie ATL said: ubishi ulianzia selection za ud ila jamaa kamaliza ubishi Click to expand... ndugu kama hautojali ni check kwa jina la Rajab s hussein nimeomba hapo Udzm
king rockie ATL said: ubishi ulianzia selection za ud ila jamaa kamaliza ubishi Click to expand... ndugu kama hautojali ni check kwa jina la Rajab s hussein nimeomba hapo Udzm
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Aug 10, 2012 #10 Mmmh INAKUWAJE MWENYE 3 kachaguliwa wakti mlisema mwisho 2?
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 703 Aug 10, 2012 Thread starter #11 sasa wadau mmeona !! Kesho au keshokutwa cha SUA nitakuwa nacho hapa home !!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,355 Aug 10, 2012 #12 Mbona haifunguki hata kwenye pc?
K king rockie ATL JF-Expert Member Joined Jun 1, 2012 Posts 260 Reaction score 25 Aug 10, 2012 #13 Alisema nani? mtaje sio wote!! BE SPECIFIC
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,355 Aug 10, 2012 #14 Vodka said: Mmmh INAKUWAJE MWENYE 3 kachaguliwa wakti mlisema mwisho 2? Click to expand... huyo mwenye 3 amechaguliwa kozi gani mkuu?
Vodka said: Mmmh INAKUWAJE MWENYE 3 kachaguliwa wakti mlisema mwisho 2? Click to expand... huyo mwenye 3 amechaguliwa kozi gani mkuu?
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Aug 10, 2012 #15 ze duduz said: Jamani mbona sioni replys hamuwezi kuifungua au? Click to expand... thanks alot bro!! atleast nimekuamin.....
ze duduz said: Jamani mbona sioni replys hamuwezi kuifungua au? Click to expand... thanks alot bro!! atleast nimekuamin.....
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 703 Aug 10, 2012 Thread starter #16 Perry said: Mbona haifunguki hata kwenye pc? Click to expand... kijana ww una matatizo hope 2ko sua wote
Perry said: Mbona haifunguki hata kwenye pc? Click to expand... kijana ww una matatizo hope 2ko sua wote
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 703 Aug 10, 2012 Thread starter #17 Perry said: Mbona haifunguki hata kwenye pc? Click to expand... kijana ww una matatizo hope 2ko sua wote xo dont panic bro !!
Perry said: Mbona haifunguki hata kwenye pc? Click to expand... kijana ww una matatizo hope 2ko sua wote xo dont panic bro !!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,355 Aug 10, 2012 #18 Mbona cjaona jina la faith p assenga?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,355 Aug 10, 2012 #19 ze duduz said: kijana ww una matatizo hope 2ko sua wote xo dont panic bro !! Click to expand... mbona hujibu pm yangu man?
ze duduz said: kijana ww una matatizo hope 2ko sua wote xo dont panic bro !! Click to expand... mbona hujibu pm yangu man?
Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 703 Aug 10, 2012 Thread starter #20 LORDVILLE said: thanks alot bro!! atleast nimekuamin..... Click to expand... xana mkuu vp umo?? Afu cha sua nitakuwa nacho kesho au kesho kutwa
LORDVILLE said: thanks alot bro!! atleast nimekuamin..... Click to expand... xana mkuu vp umo?? Afu cha sua nitakuwa nacho kesho au kesho kutwa