Mi nimeenda hadi ofisini wakaniambia subiri tu utaona kwenye mtandao. Ila the funniest thing ni kuwa UDSM wanazingua. Vyuo vingine majina yote wametoa kuanzia 1st round, second na third ila wao wametoa 1st Round tu. Hata hii kubugi wamesababisha wenyewe ingekuwa mtu unaambiwa hujachaguliwa ile round ya 3 ningefocus kwenye vyuo vingine lakini wao wanasisitiza umechaguliwa then wanakuja kukubadilishia ghafla kwenye account, japo mi hawajanifanyia hivyo ila naelewa jinsi aliefanyiwa hivyo amejisikiaje waache ukiritimba.