Selection result

Diana jerome

New Member
Joined
Dec 5, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Naombeni mnisaidie nimeomba vyuo round zote tatu sijafanikiwa kupata je nifanye nini ? Niweze kupata chuo
 
Huenda mmefaulu sana kutokana na covid19 kisanga kimewekwa kupata vyuo sasa.

Endelea kuisoma namba mkuu.
 
Sidhani kama majina ya awamu ya tatu yametoka, lakini pia angalia Aina ya kozi unazojaza Kama una vigezo nazo, pia angalia vyuo vya private Kama st. Joseph, Tunaini, na SAut, Kama unaweza nenda chuoni moja kwa moja kaongee nao wattakupa nafasi.
 
Unataka kusomea nn kwanza? Angalia na carrying capacity ya kozi katika chuo husika. Usikomae na malengo eti unataka md tena muhas alafu una two ya 12
 
Kwa mwaka huu dirisha limeshafungwa labda mwakani uombe tena ila usiombe kozi zenye ushindani
 
Yaani ulivyokosa round 1 kwenye kuomba round 2 ilibidi uchange kozi haraka sana uombe ambazo hazina ushindani...anyway hapo chakufanya ni kusubiria hadi mwakani tu maana sasaivi round ya 3 washafung
 
Yaani ulivyokosa round 1 kwenye kuomba round 2 ilibidi uchange kozi haraka sana uombe ambazo hazina ushindani...anyway hapo chakufanya ni kusubiria hadi mwakani tu maana sasaivi round ya 3 washafung

Nieleweshe apa vzr kaka
 
Unataka kusomea nn kwanza? Angalia na carrying capacity ya kozi katika chuo husika. Usikomae na malengo eti unataka md tena muhas alafu una two ya 12

Hapana kaka mim nina dvsn one ya 14
 
Kuna dogo alikosa round ya kwanza, na ya pili, nikamuombea round ya tatu akapata MD udsm ya mbeya na udom
 
Omba clinical ofisa chuo cha kilosa mkuu au untak kusomea nn n mkoa gan
 
Omba clinical ofisa chuo cha kilosa mkuu au untak kusomea nn n mkoa gan

Yan ipo hv nlivyomaliza form four nilichaguliwa na TAMISEMI kwenda chuo cha clinical officers training centre Maswa- SIMIYU lkn kipind naenda ku report nkaambia kua sja confirm kua mwanafunzi wa pale ndo maan nahitaji msaada
 
Heb acha uongo dogo one point 14 serikali haiwezi kukupangia diploma
Abadani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…