Selection kidato cha kwanza 2017

Kwa kweli sijui technology ndio I inakuwa kweli hivi?
Mkuu, nilienda wizarani kufuatilia kuhusu majina ya kutoka mkoa wa shinyanga na nikaambiwa kwamba bado hayaja wekwa kwenye mtandao.
Then nilipewa namba ya afisa Elimu wa mkoani pale na alinipatia majibu mujarab kabisa.
 
Je siwezi kupata softcopy ya kahama mji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…