**TCU UPDATES** Wanafunzio wote watakaochaguliwa chuo zaidi ya kimoja, watapokea ujumbe(SMS) wenye CODE "Comfirmation Code" kutoka TCU. CODE hiyo ni siri yako mpaka utakapokuja nayo hapa InternetCafe kwa ajiri ya kuthibitisha chuo utakachoenda. Na majina ya waliochaguliwa awamu ya kwanza yatatoka tarehe 30/8/2018. Jiandae kuthibitisha mapema ili kujihakikishia mkopo. Gharama ya kuthibitisha ni 1000/- tu. Mtaarifu na mwengne. Asante!
Sent using
Jamii Forums mobile app