Haiwezi kuwa tarehe 30/8 maana tarehe hiyo ni ya majina kutoka rasmi wakati suala la multiple selection likiwa limeshatatuliwa tayari. Yaani ilibidi wahusika wenye multiple selection ambao ni wengi sana, wote wenye DIV I&II huangukia kwernye multiple selection!!!! Ilibidi yatoke 27/8 ili wahusika wa-konfirm chuo watakachoenda ili ikifika 30/8 vyuo ndo vitoe majina rasmi. Ukweli ni kiuwa TCU wameshachemsha tayari!!! Ratiba waliyoitoa imeshaingia mchanga.