Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Kama Apolo muelekeo wangu
Mawingu sio kipingamizi kwangu
Anga la saba kikomo changu
Leteni sababu isiwe kweli
Ndoto zangu,
Jeetu Patel
Muumba wake ndiyo yule wangu
Nani aliandikiwa abaki Chini
Take usirithi Umasikini
Inabidi ufanye Mambo ki why nyinyi
Ka u-staw away vizazi vyote vimefanya
Toka Mababu zetu
Ndio waasisi wa kujichanganya
Maisha ujanja ujanja
Zungusha akili upate Mkwanja
Sio unafunika tu Ubongo
Kwa Moshi wa Miganja
Usitafute Mchumba kabla
Hujazichanga
Akienda Saloon atarejeshwa kwa
Wenye Mkwanja
Ndoa nyingi zinayumbishwa na
Vidingi
Vyenye Shilling chafu kwa ajili ya
Ngono na Mitungi
Vinaenda ringi
Hamna tena hadhi ya Ndoa
Wana Ndoa ndio wenye Makuu
Manungayembe wana nafuu
Mwambie dunia ya tatu
Unaweza usisadiki katu
Mwendo ni Mtu na Mume au Mke wa Mtu
Mapenzi Vita watu wanaenda bila Zana
Siku za Mwisho badala ya kutubu ndio mnauana sana
Haya
Mi nafsi yangu ipo kwenye Vito
Usafiri na Mishiko
Usalama wako
Omba rap inilipe kabla sijatamani vyako
Na Nikizipata
Chorus:
Nikizipa
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Nikizipata
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Verse 2:
Lumba limenikaba sio matani
Niki-check dirishani
Wanga wamejaa vibarazani
Natokea Mlango wa Uwani
Barabara nazi-cross km Zebra
Njia zangu uchochoroni
Nikizipata
Atanielewa nani
Fubu, gangwe, rockers, gear
Na mtoto km Irene Kiwia
Ndani ya Mkoko hadhi
Tyubu sita mi baby
Tukila Ice-cream haina kilevi
Japo Mweusi nitang'ara
Km Kali Ongara
Nusu ya kipato
Watakula Masonara
Ndipo nitapojiweka niwe
Target ya Majungu
Wakisema
Kutesa ndio revenge yangu
Watapata tabu Wanga wangu
Kunikuta Kitandani
We unapowanga
Nitakua Viwanjani
Kisha nitawekeza kwenye
Sekta ya Siasa
Viti ishirina tano
Nitahakikisha navipata
Wikipewa
Million ishirini
Wabunge niliowaweka Vitini
Wote wakinipa Nusu
Nimekosa nini?
Sasa wewe ni-shit
Sababu niko Chini
Siku utaona ujiko
Kusema
Ulisoma na Mimi
Chorus:
Nikizipa
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Nikizipata
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Verse 3:
Baada ya pamba hadhi
Usafiri na Mikufu
Mzunguko wa Fedha
Bongo km
Naumiliki Nusu
Ndipo ntapotafuta ardhi zaidi ya Eka tatu
Nije nijenge Kasri yenye Zoo
Wanyama mpaka Chatu
Weka uwanjani
TV kubwa Dirisha la Treni
Watu waje kwangu kuangalia
Fainali za FA
Nitasema na Mwaibula
Anipe njia nimwage Panya
Masela wapate kula
Hesabu buku 10 kichwa
Kisha nitaanzisha Shule
Kwa jina la Mtakatifu
Ndio Uhakika wa kupata watoto
Mpaka kichefuchefu
Nitabakia kupambana dhidi
Ya madhara yanayokuja
Shibe inapozidi
Chorus:
Nikizipa
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Nikizipata
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Mawingu sio kipingamizi kwangu
Anga la saba kikomo changu
Leteni sababu isiwe kweli
Ndoto zangu,
Jeetu Patel
Muumba wake ndiyo yule wangu
Nani aliandikiwa abaki Chini
Take usirithi Umasikini
Inabidi ufanye Mambo ki why nyinyi
Ka u-staw away vizazi vyote vimefanya
Toka Mababu zetu
Ndio waasisi wa kujichanganya
Maisha ujanja ujanja
Zungusha akili upate Mkwanja
Sio unafunika tu Ubongo
Kwa Moshi wa Miganja
Usitafute Mchumba kabla
Hujazichanga
Akienda Saloon atarejeshwa kwa
Wenye Mkwanja
Ndoa nyingi zinayumbishwa na
Vidingi
Vyenye Shilling chafu kwa ajili ya
Ngono na Mitungi
Vinaenda ringi
Hamna tena hadhi ya Ndoa
Wana Ndoa ndio wenye Makuu
Manungayembe wana nafuu
Mwambie dunia ya tatu
Unaweza usisadiki katu
Mwendo ni Mtu na Mume au Mke wa Mtu
Mapenzi Vita watu wanaenda bila Zana
Siku za Mwisho badala ya kutubu ndio mnauana sana
Haya
Mi nafsi yangu ipo kwenye Vito
Usafiri na Mishiko
Usalama wako
Omba rap inilipe kabla sijatamani vyako
Na Nikizipata
Chorus:
Nikizipa
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Nikizipata
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Verse 2:
Lumba limenikaba sio matani
Niki-check dirishani
Wanga wamejaa vibarazani
Natokea Mlango wa Uwani
Barabara nazi-cross km Zebra
Njia zangu uchochoroni
Nikizipata
Atanielewa nani
Fubu, gangwe, rockers, gear
Na mtoto km Irene Kiwia
Ndani ya Mkoko hadhi
Tyubu sita mi baby
Tukila Ice-cream haina kilevi
Japo Mweusi nitang'ara
Km Kali Ongara
Nusu ya kipato
Watakula Masonara
Ndipo nitapojiweka niwe
Target ya Majungu
Wakisema
Kutesa ndio revenge yangu
Watapata tabu Wanga wangu
Kunikuta Kitandani
We unapowanga
Nitakua Viwanjani
Kisha nitawekeza kwenye
Sekta ya Siasa
Viti ishirina tano
Nitahakikisha navipata
Wikipewa
Million ishirini
Wabunge niliowaweka Vitini
Wote wakinipa Nusu
Nimekosa nini?
Sasa wewe ni-shit
Sababu niko Chini
Siku utaona ujiko
Kusema
Ulisoma na Mimi
Chorus:
Nikizipa
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Nikizipata
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Verse 3:
Baada ya pamba hadhi
Usafiri na Mikufu
Mzunguko wa Fedha
Bongo km
Naumiliki Nusu
Ndipo ntapotafuta ardhi zaidi ya Eka tatu
Nije nijenge Kasri yenye Zoo
Wanyama mpaka Chatu
Weka uwanjani
TV kubwa Dirisha la Treni
Watu waje kwangu kuangalia
Fainali za FA
Nitasema na Mwaibula
Anipe njia nimwage Panya
Masela wapate kula
Hesabu buku 10 kichwa
Kisha nitaanzisha Shule
Kwa jina la Mtakatifu
Ndio Uhakika wa kupata watoto
Mpaka kichefuchefu
Nitabakia kupambana dhidi
Ya madhara yanayokuja
Shibe inapozidi
Chorus:
Nikizipa
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu
Nikizipata
Aah Mbona itakua Noma
Nikizipata
Mbona wanga wote Watakoma
Nikizipata
Wengi watajiita jina langu
Mpaka mademu walionitosa watataka wawe wangu