Sekta binafsi wamekuwa na kiburi sana, hawataki kuongeza mishahara kadri Bunge lilivyopitisha sheria.
Sasa wafanyakazi hawatapenda kuangamia katika mfumuko wa bei wakati serikali haiwajali.
Pia NSSF nao ni wazushi, hawana msaada wowote.
TUCTA nao kiini macho