Sekretarieti ya chadema na wanapotoka

.
Kwani hao wajumbe wa sekretarieti wanatakiwa kuwa wangapi ili labda wawakilishe ama ukanda, mkoa, wilaya jimbo la ubunge au kata?
.

Mkuu mimi sijui mantiki ya kuweka wanapotoka. Na hilo ndilo swali langu kuu. Kama ni kwamba sekretariat ya CHADEMA ina uwakilishi wa kimkoa ama kikanda sijui
 
Hiyo akili ya kutumia hapa sina ndio maana nikaomba wenye akili kama wewe mnisaidie. Ubaya wenu ni kwamba mtu akiulizia tu jambo lolote la CHADEMA humu ndani mnamuona kama ametumwa ama ni mpinzani. Sisi wengine hatuna ushabiki wa chama ila tunajaribu kuangalia umakini wa hivyo vyama ili tupate vyama bora na siyo bora vyama.

Kama una nia njema na husukumwi na hulka za ukabila, udini na ukanda wala usingeweka thread ya kipuuzi namna hii. Kama umepitia tovuti ya chama na unawafahamu wahusika barabara ungewauliza wao kwa ufafanuzi. Umakini wa chama huwezi kuupata kwakuuliza maswali ya kichochezi kama haya. Kwani watu wote wanaoishi Dar es Salaam wamezaliwa hapo? Kweli mambo mengine ni kutumia akili kidogo tu!
 
Una matatizo wewe.......unajifanya mchambuzi wa vyama vya siasa? Ati una chama unatufanya sisi akili zetu ndogooooo!!! Kama ndio nguvu mpya baada ya kujivua gamba umechemka.......
 
Avater yako ina mavazi kama ya Abdallah Shombo, so bila shaka na wewe ni mshabiki. Je wewe ni Green Guard nini?
 
Kama una nia njema na husukumwi na hulka za ukabila, udini na ukanda wala usingeweka thread ya kipuuzi namna hii. Kama umepitia tovuti ya chama na unawafahamu wahusika barabara ungewauliza wao kwa ufafanuzi. Umakini wa chama huwezi kuupata kwakuuliza maswali ya kichochezi kama haya. Kwani watu wote wanaoishi Dar es Salaam wamezaliwa hapo? Kweli mambo mengine ni kutumia akili kidogo tu!

Watu wana uhuru wa kugombea popote pale ndani ya Tanganyika (isipokuwa ZnZ). Mimi kwangu niliona hakuna haja ya majina ya sekretariat kuonyesha wajumbe wanatoka wapi. Hii hali ndio inaleta hisia za ukanda na ukabila. Mjumbe wa sekretariat ni mjumbe tu ni afadhali kwa mfano Mnyika ingeandikwa Mbunge wa Kinondoni kuliko kuonyesha address ya alikozaliwa. Hii haina mantiki vinginevyo uniambie walikuwa wanataka kuonyesha kuwa wajumbe wa sekretariat wanatoka mikoa mbalimbali kuondoa dhana ya ukasikazini. Kama hiyo ndiyo mantiki, sawa.
 
Una matatizo wewe.......unajifanya mchambuzi wa vyama vya siasa? Ati una chama unatufanya sisi akili zetu ndogooooo!!! Kama ndio nguvu mpya baada ya kujivua gamba umechemka.......

Kwani lazima uwe na chama ndio uwe mwanachama wa JF? Ama lazima ushabikie CCM au CHADEMA ndio uwe mwanachama wa JF? Usitake kuvisha mawazo ya wengine. Kama chama si makini inabidi kiambiwe. CCM si makini na CHADEMA pia si makini. Tusije tukaruka maji tukaenda kukanyaga moto! Si umeona CCM wanavuana gamba na CHADEMA kuna fukuto la mwenyekiti kutaka kukiuzia chama vyuma chakavu kwa jina la magari? Umakini uko wapi au wote ni wasaka tonge?
 
Kama una nia njema na husukumwi na hulka za ukabila, udini na ukanda wala usingeweka thread ya kipuuzi namna hii. Kama umepitia tovuti ya chama na unawafahamu wahusika barabara ungewauliza wao kwa ufafanuzi. Umakini wa chama huwezi kuupata kwakuuliza maswali ya kichochezi kama haya. Kwani watu wote wanaoishi Dar es Salaam wamezaliwa hapo? Kweli mambo mengine ni kutumia akili kidogo tu!

Kwa nini usimjibu tu, swali si la kichochezi kama unavyodhani.
Unasema angewafuata wahusika! Wapi tena? Nikukumbushe pia humu Jf wapo wote hao pengine pamoja na wewe kwa hiyo amewafuata. Labda ungesema ni "uzushi tu".
Kama linakushinda wewe acha, hata usiumize kichwa kina Slaa, Mnyika, Mtema nk wataliweza.
Punguza hasira, furahia maisha...
 
Nilikuwa napitia tovuti ya CHADEMA leo hii. Nikawa nataka niijue Sekretariati ya CHADEMA nikakuta majina ya wajumbe wa Sekretariati ila cha kushangaza nikakuta wajumbe John Mnyika (mbunge wa Ubungo) na Halima Mdee (Mbunge wangu wa Kawe) wanaonyeshwa kama ifuatavyo:
Mkurugenzi Mambo ya Nje
John John Mnyika (31)
Kutoka Mwanza
Afisa Mwandamizi Sheria

Halima James Mdee (33)

Kutoka Same, Kilimanjaro

halima@chadema.or.tz

Mimi najua kwamba Mnyika anatoka Ubungo na Mdee anatokea Kawe sasa inakuwaje inaonyeshwa kwamba Mnyika anatoka Mwanza na Mdee anatoka Same, Kilimanjaro? Kuna mantiki gani au ni kuonyesha wajumbe wametoka sehemu gani ya kuzaliwa?​

Naomba msaada tafadhali​

maswali kuhusu ukabila, udini na ukanda kwa chadema hayajibiki! hata slaa wao huwa hawezi kujibu hoja hizo. kwa hiyo bora hata ungekaa kimya tuu uwaache na ujima na umimi wao!
 
Mimi nilikuwa nataka kujua tu mantiki ya kuweka sehemu walipozaliwa ili nijue kama hiyo sekretaariat inaundwa kwa uwakilishi wa kikanda/kimkoa ama ni kuonyesha tu kwamba wajumbe wametokea wapi. Ajabu watu wanakuja na maneno ya ukabila. Naona ukabila unawasumbua ndio maana wamerukia harakaharaka wakidhani nawatuhumu kwa ukabila.
 
maswali kuhusu ukabila, udini na ukanda kwa chadema hayajibiki! hata slaa wao huwa hawezi kujibu hoja hizo. kwa hiyo bora hata ungekaa kimya tuu uwaache na ujima na umimi wao!

Amakweli mmeishiwa sera, bado upo na singo ya ukanda, ukabila nk! Kalagabaho
 
Watu wana uhuru wa kugombea popote pale ndani ya Tanganyika (isipokuwa ZnZ). Mimi kwangu niliona hakuna haja ya majina ya sekretariat kuonyesha wajumbe wanatoka wapi. Hii hali ndio inaleta hisia za ukanda na ukabila. Mjumbe wa sekretariat ni mjumbe tu ni afadhali kwa mfano Mnyika ingeandikwa Mbunge wa Kinondoni kuliko kuonyesha address ya alikozaliwa. Hii haina mantiki vinginevyo uniambie walikuwa wanataka kuonyesha kuwa wajumbe wa sekretariat wanatoka mikoa mbalimbali kuondoa dhana ya ukasikazini. Kama hiyo ndiyo mantiki, sawa.

Mwanzo ilikuwa dhana ya ki-kilimanjaro sasa wapepatikana kina Slaa na Mdee basi imegeuka na kuwa kaskazini
 
Kimbuka waulize wao maana wana e-mail zao watakupa jibu sahihi kabisa
Hapa lete mambo ya msingi si ya U-kanda na U-Jimbo
 
Back
Top Bottom