Desire mobutu seseseko
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 975
- 1,393
Haya ni makusudi ya wazi kwa Secretariat ya ajira kutangaza kazi za airport operations kwenda kufanywa na watu waliosoma laws huku wataalam wa LT wakiachwa
Hapa Kuna mawili yawezekana watu waliopewa dhamana hii yakusimamia recruitment hawafit kwenye hizo position au wanachukulia liwalo na liwe
Kwasababu kumpeleka mtu wa law kwenda kufanya kazi za operation nikuitia hasara serikali na matumizi mabaya ya rasilimali watu mwisho tunapelekea shirika kufanya kazi chini ya kiwango kwani hata maswali wanayouliza kwenye interview ni maswali yakawaida tu
Watu wanaletewa maswali ya research ili wakafanye kazi za operations badala hakuuliza Mambo ya msingi kwenye taaluma husika. Non sense kabisa.
Na wanafunzi wameshajua wanaitwa kwenye kazi ambazo sio za field zao walizosomea wanaenda kwakuwa wanajua watakutana na maswali ya research tu lakini wangekuwa wanaitwa halafu wanakutana na maswali ya professionalism walai wasinge kwenda.
Secretariat jitathmni huwezi letewa tangazo la ajira na ukalitangaza bila kulifanyia amendment za creteria.lazima wakae watu wa professional tofauti tofauti ili kusaidia haya Mambo huko kwenye ofisi za Secretariat ya ajira ili kumaliza hii mijadara
mnakera saana!!
#COPIED FROM SOMEWHERE!