Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,438
- 1,388
Hata tukiofanya TPA mwezi wa kwanza hawajaita whyMbona zile nafasi za TRC hawajaita?
Usaili ulifanyika tarehe hizo hizo
Watu wako kazini tiariMbona zile nafasi za TRC hawajaita?
Usaili ulifanyika tarehe hizo hizo
Utumishi hawana huo uhuni.Watu wako kazini tiari
Kuna jamaa nimemuuliza kaniambia hayo mashirika TRC na TPA wanasubiria wafanye vikao vya bodi vya mashirika yao ndio wabariki hizo ajira ndio waitwe changamoto alioniambia jamaa ni kwamba wanaoajiriwa na bodi ni nafasi za ukurugenzi tu hivyo basi hawa wanaotakiwa kuajiriwa Kama wakurugenzi ndio wanawachelewesha wenzao.Mbona zile nafasi za TRC hawajaita?
Usaili ulifanyika tarehe hizo hizo
That means kuna uwekano utumishi wasihusike tena kwenye kutoa hayo majina kwenye web yao au nimeelewa vibaya.....Kuna jamaa nimemuuliza kaniambia hayo mashirika TRC na TPA wanasubiria wafanye vikao vya bodi vya mashirika yao ndio wabariki hizo ajira ndio waitwe changamoto alioniambia jamaa ni kwamba wanaoajiriwa na bodi ni nafasi za ukurugenzi tu hivyo basi hawa wanaotakiwa kuajiriwa Kama wakurugenzi ndio wanawachelewesha wenzao.
Sekretarieti ya ajira imeshamaliza kwa upande wao wanasubiri utaratibu mwingine ukamilike kwenye hayo mashirika na kanidokeza kwamba Kuna uwezekano hayo mashirika yenyewe ndio yakawaaita waliofaulu kazini.
Ndio jamaa alivyonieleza kunauwezekano huoThat means kuna uwekano utumishi wasihusike tena kwenye kutoa hayo majina kwenye web yao au nimeelewa vibaya.....
Penye riziki, hapakosi fitinaYani haya mashirika yanayolipa vzuri ni shida sana kupata kazi sijui kwannn
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakuwa ni mbaya, maana kuna uwezekano wakafanya interview watu X, then wakaitwa kazini watu Y....Ndio jamaa alivyonieleza kunauwezekano huo
Kwenye hili naweza kukubaliana na wewe kwa 99%...maana kuna interview za TRC zilifanyika since Dec.2018 za level ya Manager's mpk leo hakuna tangazo lolote lililotolewa la kuitwa kazini.Kuna jamaa nimemuuliza kaniambia hayo mashirika TRC na TPA wanasubiria wafanye vikao vya bodi vya mashirika yao ndio wabariki hizo ajira ndio waitwe changamoto alioniambia jamaa ni kwamba wanaoajiriwa na bodi ni nafasi za ukurugenzi tu hivyo basi hawa wanaotakiwa kuajiriwa Kama wakurugenzi ndio wanawachelewesha wenzao.
Sekretarieti ya ajira imeshamaliza kwa upande wao wanasubiri utaratibu mwingine ukamilike kwenye hayo mashirika na kanidokeza kwamba Kuna uwezekano hayo mashirika yenyewe ndio yakawaaita waliofaulu kazini.
Sidhani kama kuna possibility hyo maana majina ya watakaoajiriwa mwisho wa siku ni lzm yawasilishwe "Utumishi" for records and all necessary documentations...kwa mantiki hyo ni lzm Utumishi wata-refer kwenye database yao kuangalia majina waliyoletewa kama yana-match na waliyonayo kwa waliosailiwa...in short chance ya kuchomeka jina lolote ni 0.000%Hii itakuwa ni mbaya, maana kuna uwezekano wakafanya interview watu X, then wakaitwa kazini watu Y....
Yap hata mimi nafahamu hivyoSidhani kama kuna possibility hyo maana majina ya watakaoajiriwa mwisho wa siku ni lzm yawasilishwe "Utumishi" for records and all necessary documentations...kwa mantiki hyo ni lzm Utumishi wata-refer kwenye database yao kuangalia majina waliyoletewa kama yana-match na waliyonayo kwa waliosailiwa...in short chance ya kuchomeka jina lolote ni 0.000%
mbna walishaitaWakuu nauliza kuna mwenye mrejesho wa Nafasi za TRC zilizotangwaza last year December?