Sekretariet ya ajira wizi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sekretariet ya ajira wizi mtupu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pettymarcel, Oct 29, 2012.

 1. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Jaman leo tumetoka kufanya usahil post ya afisa mtendaj kata daraja la pil tulikuwa watu kama 90 maswal tulioulizwa ni yale walioulizwa wenzetu wa dsm cha kushangaza wamechukuwa watu watano tu wengne wamedai hawajapta kumbe wana agenda ya siri eti mtu wa kwanza ana 63 na wamefaulu watano labda mimi ni kilaza je hao wengine je? bora wangedanganya watu 30 wamefaulu mchujo wa kwanza ila 5 WIZI M2PU
   
 2. nyaucho

  nyaucho Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Daah! hawa jamaa hata mm nimeshapoteza iman nao kabsa, jana archuga wamechukua watu nane tu kati ya 70 tuliopga hiyo interview. Nahic kuna ka mchezo kachafu kanaendelea.
   
 3. x

  xiande Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ndo huww nasema kila siku haiingii akilini et mtu anaita watu 100 anachukua 5 kwl???wengine wote hawana sifa??kwann wasiweke ratio kati ya wanaofanya interview na idadi ya watu ambao wanawataka??hii nchi sijui inaelekea wapi kwa kweli
   
 4. K

  Kikomelo Senior Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Watanzania kuweni makini na kulalamika, sijui mnataka mfanyiwe zuri lipi? hawajamaa wanapotangaza kazi, wanapokea maombi kibao! nafasi tuseme wametangaza mbili, wanapokea maombi 600! wanachokifanya nikuchagua waombaji wenye sifa na kuwaita kwenye usahili! wanataita wote wenye minimum qualification ili kuondoa malalamiko ya kudai wanashortlist kwa upendeleo! wanataka kila mtu awe na nafasi sawa ya kushindana! Kama kati ya maombi 600 waliyopokea, watu 400 wanasifa, basi wataitwa wote! Na wanatoa mtihan wa mchujo ili kupata watu bora! kwenye mchujo huo uwa wanabakiza ratio ya 3:1, kila nafasi moja inagombaniwa na watu watatu! kwa mfano kama wanatakiwa watu 2 basi wanaoenda kwenye oral watakuwa ni 6 tu, wale waliofaulu juu kuliko wote! Jamaa wako fair, kama ilibidi wabaki watu 6 ila matokeo yakawa kawa ivi, nimepanga kutokana na max kubwa, 90 ,87,86,85,84,83,83,83,83,83,82 na kuendelea...basi watakaoienda oral ni 10! kwa kuwa wa sita wamefungana! na kama watatu tu ndo wamevuka 50, na wengine wakapata chini ya 50 basi watakao piga oral ni watatu tu mana serikali haichukui chini ya 50.
  Nina iman tumeelewana! wanaita watu wengi ili kuwa na uwanja mpana wa kupata watu wazur! kitu cha maana ni kujiandaa vyema kabla ya kwenda kwenye writen interview! hachen kulalamika, vilaza nyie!!!
   
 5. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Wanacheza na akil za watu maana wameshakula hongo so wengine mnaenda kusindkiza wenye kazi
   
 6. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Kwel kabisa mkuu kama walikuwa wanataka watu 5 basi wangeita watu angalau 20 wapambane tumepotezewa muda garama pambavu zao
   
 7. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  wewe ndo kilaza fisad shushu wa utumish kuna rafk zangu kibao wenye cfa hawajaitwa na si kwel kuwa wanaita wote pil hakuna haja ya nafas moja kuita watu mia moja kwani maana ya cv ni nin pitia cv chuz the best cal them acha kutetea uozo
   
 8. msani

  msani JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ngoja nami nithibitishe hili linaloongelewa hapa maana nami jana nimeomba investment promotion manager na nina sifa zote walizozitaka na zaidi,kwakuwa ni mara yangu ya kwanza kuomba kazi hapo utumishi nami nitajionea ila naamini hata kama kuna zengwe ni kwa asilimia kdg sana maana kuna mtoto mmoja wa mkulima mwenzangu kapata nafasi ambayo ni nzuri na hata hakutegemea na aliiomba huku akisema ngoja ajaribu kupambana na watoto wa vigogo kwenye hiyo nafasi ila amepata bana,tusikate tamaa cha msingi ni kujiandaa vzr na usaili na kujitoa kbs kwamba unaingia kwenye mapambano na pia CV tuzipange vzr tu ipo siku nasi watoto wa wakulima tutaacha kulima na kuingia kuandika,ila nami nimejitosa kwa mara ya kwanza ili nipate kujua yanayojiri huko,ila kitaa panalipa wakuu
   
 9. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  muanzisha thread kama angeipata hiyo post sijui kama angeleta malalamiko hapa jf
  hebu rejea thread ya[kikomelo[/MENTION][MENTION][/MENTION]
   
 10. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  si wengine ngoja tusubiri leo saa 9
   
 11. piper

  piper JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole kwa kukumbana na sekretariati ya wachumia tumbo, ndo kawaida yao inakubidi uwazoee tu.

  • :confused2:
   
 12. U

  Uprising Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Kikomelo asante kwa kuongea vitu vya msingi.

  Mi naona mleta uzi amepungukiwa nyama kwenye hoja, ila amejawa HISIA na MAZOEA.

  Watanzania tujitume tumudu ushindani, siyo kulalalama.

  Binafsi nlishafanyaga usahili nao na nafahamu watu waliokuwepo kwenye taasisi tuliyokuwa tunaomba kazi kufeli written na wenzangu na siye kuvuka hiyo hatua.

  Nionvyo mimi "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."
   
 13. E

  Edo JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamani, huwezi kutangaza kazi kwa kipindi hiki ukakosa wenye sifa, tena huwa wengi sana. Ukisema uache wengine uende kwenye hiyo ratio inayosemwa utamuacha nani na umwite nani? Kila mtu ana haki ya kuitwa na kushiriki interview hata kama nafasi ni moja, kikubwa aliyepata alama nyingi ndio apate. Uzoefu wangu hao wanaosema wana sifa hawakuitwa ni wengi na mara kadhaa mimi binafsi nimefuatilia wachache na kukuta hawakukidhi "mahitaji yaliyotajwa" japo wana sifa stahiki.Hii ndio sababu hawaitwi!. Waombaji wanakuwa na haraka hawasomi kinachotakiwa na kuishia kulalamika eti nina sifa sikuitwa!.

  Kuna interview panel nimewahi kushiriki na waliosailiwa nawajua ndugu zao. Ninajua fika hawakufanya vizuri, cha ajabu wamewaambia ndugu zao eti wamefanya vizuri kwenye interview!!! Mimi huwa mu wazi nikasema nilikuwemo na hawa ndugu zenu wamevurundaa, bila shaka hii ipo kwa wengine. Nashauri tu kabla ya kulalamika, tuhakikishe tuna ushahidi wa kutosha ili tuhuma zetu ziwe za kweli zisaidie kuboresha taasisi zetu.i
   
 14. K

  Kikomelo Senior Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jaman hiki ni chombo cha serikali, kwa hiyo kinajitahid kupunguza longo longo mlizokuwa mmezizoea uko nyuma! kwanza, kwa kazi za kawaida utumishi hawaangalii experience, wao wanaamini utajifunza uko uko! mara nyingi wanaangalia ufaulu wako (GPA)! Ndiyo mana wakitangaza kama kazi assistant accountant/auditor, wanaita watu wengi mana waliomaliza vyuo ni wengi na wenye upper second zao ni wengi! Sasa kama unataka wawe wanasoma CV na kuita watu kutokana na CV zao, wale waliotoka shule mwaka jana watakwenda wapi? Wakianza kuita watu kwa CV zao basi mtasema maneno mengi kuliko myasemayo leo! Na tumeshashuhudia watoto wa wakulima waliotoka chuo direct wakipata kazi za utumishi hata kwa interview yao ya kwanza! Siku hizi wamekuwa wazi kabisa, interview ikifanyika asubui, jion majibu yanawekwa kwenye mtandao wao na unaonyeshwa umepata ngapi! Mi ninachojua ni kuwa watu wengi hawana uwezo wa kupambana wao kama wao na ndo mana wanatafuta visingizio, ila utumishi wamejitahid kupunguza uozo uliokuwepo mwanzo na ule ambao bado uko sehemu kama TRA, NSSF n.k! Hata kiundwe chombo gani, hakiwezi kukupa kazi hata kama hujiwezi! na kuna wanaopata hizo kazi na hawamjui mtu, nyie mnabaki kudai eti wanaajiri watu wasiojiweza! umejuaje?
  Maneno mengi hayavunji mfupa, mi nawashaur msome madaftar ya fani zenu vzr mana jamaa kwenye mtihan wa kuandika wanakurudisha darasan kwa 100%! Sasa kama ulikuwa shule unakamua unapata C, je leo hujajiandaa si ndo unapata 10 kabisa? angalia wale best student wa chuoni kwenu, bado yupo kitaa hana hata mchongo? na wale mliokuwa mnawaita wasongo, bado hawana mchongo? siyo rahisi!
  La mwisho ni kuwa angalien sana GPA zenu, bila upper second kwa ushindan wa sasa, ni vigumu kuingia serikalini! utaishia kwenye mabenk na startimes! ni hayo kwa leo!
   
 15. x

  xiande Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa ratio ambayo inaongelewa hapa ni kuwa baada ya watu kutuma maombi .wametuma watu 600 unahitaji 3 fine waite wote weka written exam ..chukua top list 6 ili kuwe na ratio flan angalau nafasi moja wanashindani watu 3 sio unaita watu 100 unataka 3 hapo ni kupotezea mda... huoni jinsi nhif walivyofanya kuna post moja walikuwa wanahitaji watu 3 ila walipokea maombi 100 walichofanya waliita watu kwnx written exam wakachukua watu 12 kila post inashindaniwa na watu 4 at least....sio unaita watu 100 unataka 3 jaman huko sio...
   
 16. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Mimi naona secretariet wako sawa kabisa. ni bora kuita wote walioomba kufikisha mimimum qualification na wapewe paper ndio iwachuje. ukisema watumie CV sitakubali maana vyuo vya elimu ya juu vinatofautiana namna ya kutathimini wnafunzi. Unaweza ukakuta mwanafunzi wa chuo fulani ana First class ila ni bomu kuliko mwanafunzi wa chuo kingine ambaye ana second class lower. Pia CV huwa zinatengenezwa kwa uongo mwingi sana. hazisemi ukweli wakati wote. Je umewahi kufikiria michakato inayotumika vyuoni mpaka mtu kufaulu? hapo utasikia watu wametoa pesa kwa lecture wakapewa mtihani, madada wanatoa biology zao na kupewa mitihani, wakaka pia sikuhizi hufanya hivyo. wengine huwasiliana na malecturer wakiwaomba wasiwashike huku wakiahidi pesa.

  Mtihani wa secretariate umegundua yote hayo na ndio maana wantoa mtihani upya. hapo marmoja pumba hujitenga na ngano. Kuhusu kuita wengi kwenye oral interview pia ni vizuri maana wengine ni wazuri kuandika lakini hawajui kujieleza. hapo wanakuwa na uwanja mpana wa kumpata mwenye kujua kujieleza pia.

  Nyie mnaopinga ndio walewale wenye GPA kubwa huku mkiwa hamna kitu kichwani. au Baada ya kumaliza chuo mligawa material mkidhani kazi ya yale material ilikuwa ni kwa ajili ya mtihani tu, kumbe si kweli bali ni kwa ajili ya mtihani na zaidi ya yote kwa ajiri ya refence ukiwa kazini ili ufanye kama ulivyofundishwa. Kwendeni zenu huko
   
 17. K

  Kikomelo Senior Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wewe ndo GT! uko juu na nimefurahi ulivyowapa vidonge vyao! sawa kabisa!
   
 18. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Hivi ungepata ungelalamika kwa niaba ya waliokosa?!!!
   
 19. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sisi vilaza mara nyingi hatufikirii outside the box, unaposema waitwe wachache kwenye interview ni kulimit uwanja mpana zaidi wa kupata mtu bora zaidi. Acha kulalamika kazi za kupeana zimeshapitwa na wakati. Nakumbuka wakati naanza kutafuta kazi nilikuwa na mawazo kama yako kuwa watu wanabebana kwenye ajira, mzee mmoja ambaye namshukuru hadi leo aliniambia "kijana ukiendelea na mawazo mgando kama hayo elimu yako itakuwa haijakusaidia" baada ya hapo nikawa nawekeza kwenye kujiandaa vyema kwenye interview, hadi sasa nikiitwa kwenye interview yoyote kama wanahitaji watu 2, asilimia ya kupata ni 85 bila kuhangaika kutafuta nani namjua wala nini kwa kuwa mambo hayo yanakufanya uwe na mawazo mgando na kushindwa kujiandaa kupambana vizuri. Kwaheri
   
 20. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Usilalamike, next time cha kufanya uki-apply nafasi ya watu 3 wakaita 100 usiende, kama ndiyo unafikiri ni kupotezeana muda. Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ndio unaokufanya ulalamike. na kama hutabadili namna ya kuchambua mambo, interview zote utakuwa unabigwa chini. Ningekuwa natafuta nafasi yoyote ya kuajiri nisingekuajiri kwa kuwa unaonyesha uwezo mdogo wa kuchanganua mambo.
   
Loading...